Chords & lyrics

Jah Live Chords

Music by: Luciano
Tone B major BPM 143 Views 12
0
Guitar

Lyrics & chords

[Intro 1]
[G][D][C][G][D][Em]
[G]Dear

[Verse 1]
[D]gambe umefan
[Em]ya maisha yangu ya[G] yumbe,
[D]MI [G]nimpambe [D]wako [Em]leo
[G]nimekutu[D]mia ujumbe,
MI ndugu [Em]yako nipe ukweli [G]usini [D]fumbe,
[G]Uwe[D]po [Em]wako[G] karib[D]u
vp un[C]afanya [G]ni yumbe,
Kil[D]a muda kwene f[C]riji unajipoza,
MI domo [G]zege [D]nikisha kutumia natongoza,
[C]Nalewa usiku kucha jua lin[G]a chomoza,
[D]Nasindikiza [C]na supu as[G]uhi
njema [D]unaniongoza,[C]
[G]We ni nani un[D]aiyendesha hi [C]akili,[G]
[D]Nnikiwa na mawazo [C]unanitoa
stress [G]nisifikili,
Ukiwa mez[D]an chupa
kadhaa siji[C]wezi,
Mpaka mtaani [G]washa nipa [D]jina
jingine [Em]la mlevi,
[G]Unafan[Em]ya n[G]afubaa mi mwenzako,
[D]Hadi [Em]kazin[D]i naib[Em]a
[G]chapaa nije kwako,
[D]Dear gambe mit[Em]aa ipe ukweli wako,
Nakila [G]ugomvi wa baa kwanini
[D]chanzo [G]ni cha[D]ko.
[Em]VERS [G]2;
[D]Unafanya [C]ndoa nyingi zin[G]avunjika,
Hasi [D]chanya we na [C]msosi nikichanganya na tapika,
[G]
[D]Aukatai kila [C]mteja anae [G]kuarika,
Un[D]afurahi na [C]ubaridi wa
maji una chil[G]izika,
[D]Likitokea [Em]tatizo we ndo kimbilio,
Nakutinga nakua [G]muongeaji [D]bila [G]mpa[D]ngilio,
[Em]
Nasahau kinga [G]tamaa ndo [D]kimbilio,
[Em]We ni funda la ziada u[G]nani
[D]umbua [Em]mi mwenz[G]io,[D]
Un[C]arainisha koo kifikla unan
[G]i b[D]embeleza,
[Em]Unani kontro sijasoma naongea
[G]hadi kingerez[D]a,
[C]Usha niweza nani aliye [G]kutengeneza,
Na nini aliwaza [D]nawe ni
mbaya kwa wasio jiwez[C]a,
Sa najinyea [G]nanilikunywa kwa [D]furaha,
[C]Najikojolea unani athiri na
nin[G]atoa cha paa,
[D]Dear gambe mitaa [C]ipe ukweli wako,
Nakila ugomvi wa [G]baa kwanin
[C]i chanz[G]o ni chako.
VERS [D]3;
Dear gambe un[Em]anichanganya sana,
Unamajina [G]mengi mpaka ya [D]mbuga za wan[Em]yama,
Nashangaa, mengine yanatia [G]kinyaa,
[D]Mfano [Em]mzuri nigongo chimpumu
hata cha [G]ng\"aa,
[D]Kwenye ubon[G]go [D]umetawala
kil[Em]a secta,
Niukweri siwezi kua [G]nawe bila pesa,
[D]Watu wengine wana [C]kula ada
kisa wewe.
Unawafanya wanasahau [G]ibada,
Na juzi juzi tu [D]nimepata khabari,
Kuna [C]mwana ulikua nae
[G]ameshapata ajaLI,
[D]Dear gambe [C]nikweli unanichosha,
Napenda kua nawe il[G]a nyumbani
mboga wanakosa,
[D]Nawaza jinsi gan[C]i ntakuacha,
[G]Mpaka wazalendo [D]wa dini ba
[Em]hadhi kwako wame data,
Hakuna [G]utata poa [D]sasa [Em]najikata,
Kapuku nikizipata ntaku[G]fata...
Chords Tap to view chord shapes
Ready to view chords
Select a chord in the lyrics to pin the chord view here.
AI analysis Quick · deep

The quick version summarizes key, main loop, cadence and harmonic colors. The deep version is for closer reading.

Quick version Quick · compact

Optimized for fast rendering and identifying the main pattern.

No quick version yet. Click Generate quick to create a summary.
Deep version Detailed

Generate or regenerate a fuller AI harmonic analysis.

No deep version yet. You can use the quick version first, then generate the deep version when needed.
Discover more Artist · genre · key
18%
143 BPM